Mahubiri kwa lugha zingine:
Mahubiri ya Matayo 10,34-39: “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali vita. Kwa maana nimekuja kuleta kutokuele wana kati ya mtu na baba yake, na kati ya binti na mama yake, na kati ya mkwe na mama mkwe wake. Na maadui wakubwa wa mtu watakuwa watu wa nyumbani kwake.Ye yote anayempenda baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Na ye yote ampendaye mwanae au binti yake kuliko anavyoni penda mimi, hastahili kuwa wangu. Na ye yote asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. Ata kayeng’ang’ania nafsi yake ataipoteza lakini aipotezae nafsi yake kwa ajili yangu ataipata.”
Hapa kuna mahubiri katika Kijerumani
******
Matayo 11,16-19: “Kizazi hiki nikilinganishe na nini?” Kinafanana na waliokaa masokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia, ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za msiba, lakini hamkuomboleza.’ Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja na akawa hali wala hanywi nao wanasema, ‘Amepagawa na pepo’. Mimi mwana wa Adamu nimekuja nikila na kunywa, nao wanasema, ‘Mta zameni mlafi na mlevi; rafiki wa watoza kodi na wenye dhambi!’ Lakini hekima huthibitishwa kwa matendo yake.”
Hapa kuna mahubiri katika Kivietinamu
******
Marko 15,1-5: Kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya mkutano pamoja na wazee na walimu wa sheria, na Baraza zima likafanya mashauri. Wakamfunga Yesu, wakamchukua na kumkabidhi kwa Pilato. Pilato akamwuliza, “Wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akajibu, “Wewe ndiye uliyesema maneno hayo.”
Makuhani wakuu wakamsh taki kwa mambo mengi. Pilato akamwuliza tena, “Huna la kujibu? Unasikia mashtaka yao!”
Yesu hakusema neno. Pilato akashangaa.
Hapa kuna mahubiri katika Kihungaria
******
Luka 11,15-21: Lakini wengine wakasema: “Anatoa pepo kwa uwezo wa Beelzeb uli, yule mkuu wa pepo wote.” Wengine wakamjaribu kwa kum womba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, “Nchi yo yote iliyo na mgawanyiko wa vikundi-vikundi vinavyopingana au familia yenye mafarakano, huangamia. Kama ufalme wa shetani ungekuwa umega wanyika wenyewe kwa wenyewe ungesimamaje? Nasema hivi kwa sababu mnasema ninaondoa pepo kwa uwezo wa Beelzebuli. Kama mimi ninaondoa pepo kwa nguvu za Beelzebuli, wafuasi wenu je, wao huwaondoa pepo kwa uwezo wa nani? Wao watawaamulia. Lakini kwa kuwa ninaondoa pepo kwa uwezo wa Mungu, basi Ufalme wa Mungu umewajia. Mtu mwenye nguvu aliye na silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake ni salama.
Hapa kuna mahubiri katika Kihispania
******
Mahubiri juu ya mada yataunganishwa hapa hivi karibuni.