Ulinzi wa Taarifa
Ulinzi wa taarifa, waendeshaji wa kurasa hii wajizatiti kulinda taarifa zako kibinafsi na kwa umakini mkubwa sana. Tunatunza taarifa hizi, kwa mujibu wa kanuni za kisheria za ulinzi wa taarifa na tamko hili la ulinzi wa taarifa. Tovuti yetu inaweza kutumika bila kutoa taarifa binafsi. Machapisho ya taarifa binafsi kwenye ukurasa huu kama vile (jina na anuani ya makazi) katika tovuti hii daima hufanywa kwa hiari na mtumiaji ama mgeni wa tovuti hii kwa kujiandikisha kwenye orodha: "Nataka kujifunza kutoka kwa Yesu". Hata hivyo taarifa hii ya ujumla inaweza kutazamwa hadharani na kila mtu chini ya kitufe "Unataka kujifunza kutoka kwa Yesu pia" na tarehe ya kuingia.
Tungependa kudokeza kwamba utumaji taarifa kwenye mtandao (k.m. wakati wa kuwasiliana kwa barua pepe) unaweza kuwa na mapungufu ya usalama. Ulinzi kamili wa taarifa baina ya watu wawili bila kudukuliwa na mtu wa kati.
Vidakuzi
Baadhi ya tovuti hutumia viitu vinachojulikana kama vidakuzi. Vidakuzi haviharibu kompyuta yako na havina virusi. Vidakuzi hutumika kufanya toleo letu kuwa bora, lenye faida zaidi kwa watumiaji, na salama. Vidakuzi ni faili ndogo za maandishi ambazo huhifadhiwa kwenye kompyuta yako na kuhifadhiwa na kivinjari chako. Vidakuzi vingi tunavyotumia vinaitwa "vidakuzi vya majira". Vidakuzi hivi hufutwa mara baada tuu ya matumizi yako kwenye kijivinjari. Vidakuzi vingine ambavyo husalia huhifadhiwa kwenye kifaa chako cha mwisho hadi utakapovifuta. Vidakuzi hivi hutuwezesha kutambua kivinjari chako unapotembelea tena. Unaweza kuweka kivinjari chako ili kukujulisha kuhusu mpangilio wa vidakuzi na kuruhusu tu vidakuzi katika hali za kibinafsi, hakikisha haujumuishi au kukubali vidakuzi kwa matukio fulani au kwa ujumla. Andaa mfumo wa ufutaji wa moja kwa moja wa vidakuzi wakati kivinjari kimefungwa. Ikiwa vidakuzi vimezimwa, utendakazi wa tovuti hii unaweza kuwekewa vikwazo.
Taarifa kuhusu ukusanyaji wa taarifa binafsi
(1) Kinachofuata ni kukujulisha kuhusu ukusanyaji wa taarifa binafsi unapotumia tovuti yetu. Taarifa binafsi ni kama vile (jina, anwani, barua pepe, tabia ya mtumiaji).
(2) Ukiwasiliana nasi kwa barua-pepe au kupitia fomu, taarifa unazotoa kama vile (anwani yako ya barua pepe, jina lako na nambari yako ya simu unayoitumia), pamoja na saa na anwani yako ya utambulisho katika mtandao IP zitahifadhiwa nasi. Tunafuta taarifa zinazotokana na muktadha huu baada tu ya uhifadhi wake kutokuwa muhimu tena, au uchakataji wa taarifa hizo unapokuwa umezuiwa kulingana na matakwa ya kisheria ya uhifadhi wa taarifa.
Faili za kumbukumbu za seva za mtoa huduma wa kurasa hukusanya na kuhifadhi moja kwa moja taarifa katika faili za kumbukumbu za seva, ambazo kivinjari chako hututumia moja kwa moja. Hizi ni:
Aina ya kivinjari na toleo la kivinjari
mfumo wa uendeshaji uliotumika
URL ya kielekezi
Jina la mpangishi wa kompyuta inayoingia
Muda/ wakati wa ombi la seva
Taarifa hii haiwezi kupewa watu kibinafsi. Taarifa hii haijaunganishwa na vyanzo vingine vya taarifa. Tunahifadhi haki ya kuangalia taarifa hii baadae iwapo tutafahamu viashiria mahususi vya matumizi haramu.
Usimbaji fiche wa SSL (SSL encryption).
Tovuti hii hutumia mfumo wa SSL kubadilisha taarifa kuwa nambari za siri kwa sababu za usalama na kulinda utumaji wa maudhui ya siri, kama vile maswali unayotutumia kama mwendeshaji wa tovuti. Unaweza kutambua muunganisho uliosimbwa kwa ukweli kwamba mstari wa anwani wa kivinjari hubadilika kutoka "http://" hadi
"https://" hubadilika na alama ya kufunga kwenye mstari wa kivinjari chako. Ikiwa usimbaji fiche wa SSL umewezeshwa, taarif unayotuma kwetu haiwezi kusomwa na watu wengine ambao sio wahusika lengwa.
Chanzo: e-recht24.de