Mahubiri kwa lugha zingine:

Mahubiri ya Luka 14,25-35: Wakati mmoja umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukifuatana na Yesu, yeye aligeuka, akawaambia, “Mtu ye yote anayekuja kwangu hawezi kuwa mfuasi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto, kaka zake na dada zake; naam, hata maisha yake mwenyewe.  Na ye yote asiyebeba msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mfuasi wangu.
Ni nani kati yenu ambaye kama anataka kujenga, hatakaa kwanza na kufanya makisio ya gharama aone kama ana fedha za kutosha kukamilisha ujenzi?  Kwa maana ikiwa atajenga msingi halafu ashindwe kuendelea, wote watakaouona watamcheka  wakisema, ‘Mtu huyu alianza kujenga lakini ameshindwa kumal iza!’.
Au tuseme mfalme mmoja anataka kwenda vitani kupigana na mfalme mwingine: si atakaa kwanza ajishauri kama yeye na jeshi lake lenye watu elfu kumi ataweza kupigana na yule anayekuja na watu elfu ishirini? Kama hawezi, basi itambidi apeleke wajumbe wakati yule mfalme mwingine bado yuko mbali na kuomba masharti ya amani. Hali kadhalika, hakuna mtu atakayeweza kuwa mfuasi wangu kama hataacha vyote alivyo navyo.
Chumvi ni kitu kizuri. Lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, haiwezi kuwa chumvi tena. Haifai kuwa udongo wala kuwa mbolea; watu huitupa nje. Mwenye nia ya kusikia na asikie!” Mfano Wa Kondoo Aliyepotea"

Hapa kuna mahubiri katika  Kijerumani ya Prof. Klaus-Peter Hertzsch

 

*******

Mahubiri ya Yohana 17,11,b: Yesu: ... "Baba Mtakatifu, walinde kwa jina lako ambalo umenipa ili wawe na umoja kama sisi tulivyo mmoja."

Hapa kuna mahubiri katika  Kijerumani ya Joaquim Nunes

 

******

 

Mahubiri juu ya mada yataunganishwa hapa hivi karibuni.